Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dkt. Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015.
Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kweli Tanzania tutachukua muda mrefu kuwa na katiba au utawala bora ikiwa ubunge wa miezi mitatu pia muhimu rais kuchagua kabla hajamaliza muda wake na bunge kuvunjwa mungu amlaze mahala pema peponi mwalimu nyerere bado tuna kulilia watoto wako baba.

    mdau.

    Tandika.

    ReplyDelete
  2. MIEZI MITATU KABLA WANAENDA BUNGENI KUFANYA NINI. NI KUJAZA HIZO NAFASI 10 TU

    ReplyDelete
  3. Labda ni watu muhimu kwa Urais 2015...Watch them and time will tell

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...