Na Yusuph Kileo
Kumekua na makongamano, Mikutano na warsha mbali mbali zihusuzo maswala ya usalama mitandao katika mataifa mbali mbali ambapo mijadala ya kina kuhusiana na maswala ya usalama mitandao hufanywa. 
Mijadala yenye nia na madhumuni ya kuangazia macho maswala ambayo hivi sasa yamekua yakiitikisa dunia. Tanzania kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) kwa kushirikiana na Tume ya Sayansi na Teknolojia kwa Maendeleo ya nchi za Kusini(COMSAT) na taasisi nyingine wameweza kuandaa warsha ya nne ambapo imefanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania. 
Taarifa zaidi juu ya tukio hili pamoja na viambatanishi vingine muhimu vinaweza kusomeka “HAPA” “http://ykileo.blogspot.com/2014/10/warsha-ya-maswala-ya-usalama-mitandao.html
 KATIBU MKUU WIZARA YA SAYANSI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA PROF. PATRICK MAKUNGU AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA WARSHA YA USALAMA MITANDAO AMBAPO TANZANIA IMEKUA MWENYEJI WAKE.
 MKURUGENZI MKUU WA COSTECH NCHINI  DR. HASSAN MSHINDA AKITOA MANENO MACHACHE KATIKA UFUNGUZI WA WARSHA HIYO.
 WASHIRIKI  KUTOKA KATIKA MATAIFA MBALI MBALI WAKIENDELEA NA WARSHA. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...