Kamera ya Globu ya Jamii katika pita pita zake imefanikiwa kuinasa Taswira ya mdau huyu akiwa kaketi kwenye kiti chake huku pembeni akiwa kaegesha usafiri wake wakati akipunga upepo katika ufukwe wa bahari ya Hindi,jijini Dar jioni hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Acha ajipumzishe na kutafakari.....yaliyo mengi ni yenye kukera na kuudhi.....

    ReplyDelete
  2. Viti vya Habib Punja vilivyojengwa pwani yote ya jiji la Enzi hizo la Dar-es-Salaam Tanzania ili watu wapumzike bado vipo? Habib Punja donated hundreds of concrete benches along the DaresSalaam sea shore for people to sit and enjoy the beautiful view of the Dar seafront.

    ReplyDelete
  3. Kuna nadharia nyingi za uponyaji wa kisaiklojia kutoka kwa wana sayansi kunatokana na ukimya,upepo sauti ya mawimbi hata harufu ya bahari,hongera sana ndau sisi watu wa Tabata tunataman lakini tunashindwa sababu kubwa kwangu folen..ya magari barabaran

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...