Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2014

    Ni kweli pesa haiwezi kununua hayo yote, wazazi na jamii wanapashwa kuwekeza katika malezi na maadili, ndiyo tupate tabia nzuri, uaminifu, upendo, n.k

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2014

    Money can buy first class on a plane!
    "....until there is no first and second class citizens of a nation...."

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2014

    Nakubaliana na jamaa hapo juu.Money cant buy everything, but man, money can buy a lot.There are circumstances where if you have money you live, and if you dont have money you die.
    Nionavyo mimi ni kuwa usiabudu pesa na weka utu mbele

    ReplyDelete
  4. Na kikubwa zaidi ya yote ambacho money can't buy is HAPPINESS. Wawezakuwa na kila kitu unachokitaka na utajiri wa kutosha, lakini kama huna furaha, amani na utulivu moyoni, yote ni kazi bure, Na uwe na mabilioni ya pesa, kamwe huwzi kununuwa 'Furaha'. Kwa mantiki hiyo, tufahamu ya kuwa, pesa sio msingi wa kila kitu na wala sio suluhu ya kila jambo, cha kuzingatia ni 'Utu' wa mtu, kuujali na kuuthamini, kipato ni matokeo kwa wenye kujaaliwa. Ni kheri ya masikini aliye huru, kuliko tajiri aliye mtumwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...