Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2014

    The mdudu,huyu dogo mm namkubali sn lakini huyu wa kuitwa Ali Kiba kukaa kote kimya machimboni eti kaibuka na Bolingo amenikera sn.na ile chance alioipata kuimba na gwiji R-Kelly kisha kaichezea haitoludi tena.natamani ile chance angekua Diamondi saiv tungekua tunatembea kifua mbele am sure soon diamondi atatutoa coz ni mjanja mjanja na hana ulevi wa sifa kwa mashabiki wake peperusha bendera ya Tz kwa uzalendo mwana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2014

    Ali kiba kaimba nyimbo nzuri tatizo la ali kiba atafute kampuni yakumsimamia wamshauri wakati gani atoe nyimbo na nyimbo gani za aina gani atoe kwa wakati gani anatoa nyimbo kipindi ambacho mpinzani wake katoa na yy katoa muda huo huo sio rahisi kuhit jipange ali kiba

    ReplyDelete
  3. hahahahahahaha MDUDU bwana....unanikoshaga......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...