Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM Ikulu ndogo ya  Chamwino mkoani Dodoma. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana wakifurahia kabla ya kikao cha  Kamati Kuu ya CCM. Picha na Bashir Nkoromo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...