TUNAOMBA RADHI KWA HABARI ILIYOTOKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA MMEA WA ROZELA HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU ILIKUWA SIO SAHIHI
Akizungumza na waandishi wa habari Tabibu Mkuu wa Tanzaone Dk.Marwa aliwaomba radhi wakala wa mkemia mkuu wa Serikali, watanzania wote na serikari kwa usumbufu walioupata kuhusu nukuu potofu ya habari kuhusu mmea wa Rozela kuwa haufai kwa bianamu.
Hata hivyo amesema Dawa Tanzaone Life Cell Cream kwa matumizi ya uzazi kwa akina mama na Tanzaone Antviral kwa wongojwa wa HIV zilizo chunguzwa na mkemia mkuu zilionyesha kuwa zinafaa kwa matumizi ya binadamu.
Imetolewa na Tabibu Mkuu wa Tanzania Herbal
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...