Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiikingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo alifungua mkutano wa Makatibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM,Mkoa na Wilaya.
Wajumbe wakishangilia wakati wa  ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM taifa Abdallah Majura Bulembo akimpa zawadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Mkutano wa jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa jumuiya hiyo unaofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...