Je, wewe ni kijana wa kiTanzania unaejua kuigiza?
Tunatafuta waigizaji wanaojiamini kwa ajili ya Tamthilia mpya Tanzania.
Tunatafuta wanawake & Wanaume umri kati ya miaka 20-40.
Fika SLIPWAY STUDIO Dar es salaam.
Jumamosi Tarehe 5 September, 2015
Saa sita mchana.
Uje na kitambulisho.
Kwa maelezo zaidi, piga 0754343969.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...