Mambo yanazidi kuwa mswano jijini Dar,kwani kila kukicha mabadiliko yanaonekana.pichani ni Kituo cha Basi cha Magomeni Mapipa leo.
Inavyoonekana Magomeni Mapipa sasa.

Magomeni Mapipa kuelekea Kariakoo.
Vikwangua acha vya nguvu upande wa Kariakoo kutokea Magomeni Mapipa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongereni ila Nipe mwaka tu halafu uje uchukue taswira yake.

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli kunaonekana vizuri sana, hii barabara ya mabasi kwenda kasi imependezesha sana eneo hili. Hivi kwa nini Magomeni hii iliitwa mapipa? kulikuwa na dampo au mapipa ya nini? au ni jina tu.

    ReplyDelete
  3. Vumbi vumbi why

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...