Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao chake na watendaji wanaosimamia sekta ya madini nchini. Kushoto kwake ni Kamishna wa Madini nchini, Eng. Paul Masanja. Wengine kutoka kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Madini Dodoma (MRI), Mjiolojia Mwandamizi Subian Chiragwile, Kaimu Mkurugenzi wa Migodi na Huduma za Kihandisi kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Bi.Zena Kongoi, na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma wa STAMICO, Bi. Koletha Njelekela.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (kulia) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi Edwin Ngonyani wakati Naibu Waziri alipofanya kikao na Watendaji wa Wizara na Taasisi zinazosimamia sekta ya madini nchini. Kikao hicho kilifanyika katika makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...