Abiria wanaosafiri kutoka Nachingwea kwenda Dar kupitia masasi,wamekwama asubuhi hii katika eneo la kijiji cha Lukuledi kilichopo katika mpaka wa wilaya za Nachingwea na Masasi,baada ya Lori la mizigo kukwama kutokana na matengenezo ya daraja katika kijiji hicho,hali hiyo ilimepelea baadhi ya mabasi kurudi na kupitia njia ya mzunguko hadi Ndanda kurudi Masasi.Picha na Abdulaziz Video wa Globu ya Jamii,Lindi.
Kibao cha Mkandarasi wa Daraja hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Poleni sana wasafiri na wakazi wa eneo hilo.
    Lukuldi imenikumbusha kitabu cha kiswahi nadhani ni darasa la tatu kulikua na adithi moja inakiusu kijiji cha Lukuledi wilayani Masasi. Sijawahi kufika huko lakini kwa kuangalia mazingira kwenye picha nimekupenda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...