Hapa ni mwisho wa lami katika barabara kuu ya kutoka Kondoa  mkoani Dodoma kuelekea Babati mkoani Manyara. Tayari ujenzi wa barabara ya lami kutoka Kondoa hadi hapa mwisho wa lami umeshaanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankal

    Shukrani kwa taarifa hii, ambayo imenikumbusha mbali. Babati nimefika mara tatu na wanafunzi wangu katika kozi niliyotunga juu ya mwandishi Ernest Hemingway.

    Hemingway alipita Babati na Kondoa, akielekea Tanga. Panapo majaliwa, nitakapokuja na msafara wa wanafunzi tena, hatutaishia Babati, bali napangia kupitiliza hadi Kondoa.

    Anayetaka kufahamu angalau kidogo jinsi Hemingway alivyoandika kuhusu sehemu zote hizo, asome kitabu chake kiitwacho "Green Hills of Africa."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...