Naibu waziri wa Maji Mhe.Amos makalla akizindua mradi wa maji karanga mjini Moshi
Naibu waziri wa maji Amos makalla akiwahurubia wafanyakazi wa mamlaka maji MoshiNaibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikabidhi tuzo ya ubora wa utunzaji mazingira kwa mkurugenzi wa mamlaka maji moshi Injinia Cryspin Lumeleja
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla Naibu wazir maji akiongea na wajumbe wa bodi ya mamlaka maji moshi
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikagua chanzo cha maji cha Mto Karanga mjini Moshi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...