Ankal ana T-Shirt kibao anataka kugawa katika msimu huu wa sikukuu. Ila anaomba kwanza umwekeze taswira hii imechukuliwaje, na kwa ataeweza hata kutaja kamera ilotumika atapewa T-Shirt mbili....Mwisho wa chemsha bongo ni saa sita kamili Jumatatu Desemba 22, 2014

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Uncle hiyo Taswira imepigwa kwa Camera kuwa kwenye Dash Board hapo pa kusomea mwendo kasi, uliweka muda kwa kujipiga hivyo imekupiga automatically, na camera iliyotumika ni ya jicho la Tai, na mtengenezaji ni Nikon.

    Ahsante nasubiria T-Sirt zangu za sikukuu.

    ReplyDelete
  2. SIJUI AINA YA CAMERA ILIYOTUMIKA ILA IMEPIGWA LOW ANGLE KWA KAMERA KUWEKWA KWENYE DASHBOARD YA GARI (MBELE YA USUKANI)

    ReplyDelete
  3. Go Pro Hero..

    ReplyDelete
  4. Picha imepigwa kwa mbele, ila gari haina kioo cha mbele...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...