Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Samahani, anayeelewa hii anisaidie, wanaposema we buy kwa kiasi fulani and we sell kwa kiasi fulani. Kama mimi nataka kununua dollar au Euro nalipa kwa buy or sell. Na kama nataka kubadilisha dollar to shilling maana yake nawauzia dollar inakuwa buy or sell. Naomba kujua kwa anayeelwa hilo hasa nikitaka kubadilisha dollar or Euro kuwa shilling. Asante sana

    ReplyDelete
  2. Mchangiaji #1 hapo juu mimi ninavyoelewa Buy and Sell ni kwa hiyo Bank iliyoweka tangazo.
    Kwa mfano wao wananunua dollar 1 kwa Tshs 1670 na wanauza dollar 1 kwa 1797.
    Kwa hiyo wewe ukienda kubadilisha dollar zako watanunua kwa shilingi 1670 na ukitaka kubadilisha shilingi kuwa dollar watakuuzia dollar 1 kwa shilingi 1797.

    ReplyDelete
  3. Okay, asante sana ndugu kwa kunipa ufafanuzi. Nashkuru na Mungu akubariki asante sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...