Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifafanua jambo wakati alipokuwa
akifungua Semina ya siku moja ya kutafuta namna ya kukabiliana na
Rashwa mbalimbali ikiwemo ya Ngono kati ya viongozi na watendaji wa
chini iliyoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA).
Mwenyekiti wa Chama cha Majaji wanawake Tanzania Jaji Engera Kileo
akizungumza katika semina hiyo.
Shekh Husen Kuzungu akifafanua jambo wakati akichangia mada kwenye
semina ya kutafuta namna ya kutokomeza Rushwa ya Ngono iliyoandaliwa
na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) iliyofanyika Dodoma.
Mahakaimu, Wabunge, na wakuu wa vyombo vya Dora wakifuatilia jambo
wakati mkuu wa mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifungua Semina kuhusu
namna ya kukabiliana na tatizo la Rushwa ya Ngono linaloendelea
kushamili kati ya wenye vyeo na wasio na vyeo, iliyoandaliwa na Chama
cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA)
Wajumbe waliohudhuria warsha ya kutafuta namna ya kukomesha Rushwa ya
ngono maofisini kati ya mabosi watendaji wa chini ikiwemo vyuoni na
mashuleni iliyoandaliwa na chama cha majaji wanawake Tanzania (TAWJA) iliyofanyika Dodoma
Majaji, mahakimu, viongozi wa Dini na viongozi wa vyombo vya Dora
waliohudhuria semina hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu mpya
wa mokoa wa Dodoma Chiku Galawa.
Masahihisho vyombo vya "dora" au "dola"?
ReplyDeleteMKUU MPYA WA MKOA WA DODOMA
ReplyDeleteMkuu mpya wa mkoa wa Dodoma na si Mkuu wa mkoa mpya wa Dodoma. Mkoa wa Dodoma si mpya ila mkuu wake ndiye mpya.
ReplyDeleteMkoa wa Dodoma mbona upo kwenye orodha ya mikoa toka zamani. "Mkoa mpya wa Dodoma".
ReplyDelete