Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ni vizuri kukawa na ushirikiano ili kudhibiti uhalifu wa benki. Lakini ni vyema tukathamini haki ya mtu. Kwa mfani ni kinyume cha haki za binadamu eti polisi kuchukua finger prints za wafanyakazi wote wa benki na kuzihifadhi ili zisaidie uchunguzi wa uhalifu wa benki.Vile vile ni kinyume cha sharia na haki za binadamu kuchukua finger prints za walinzi eti kuzihifadhi polisi ili zisaidie uchunguzi wa uhalifu. Ni vyema watanzania na waandishi wa habari wakapata elimu ya kuwa fungua macho kuhusu haki za binadamu. Kuwepo kwa uhalifu sio sababu ya ukuiukaji wa haki ya binadamu. mdau alexbura dar

    ReplyDelete
  2. Acheni vyombo vya usalama vifanye kazi zao.kama ikibidi kuchukua fingerprint hata za CEO wa benki wacha wachukue tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...