Unamkumbuka Morris Okinda? Yule bingwa wa zamani wa mbio mita 400 kuruka viunzi, hivi sasa ndiyo Mkuu wa Polisi (OCD) wilaya ya Monduli.Okinda aliweka rekodi ya mita 400 kuruka viunzi katika mashindano ya Afrika mwaka 1985 jijini Cairo Misri akitumia sekunde 51:20 ambayo kitaifa haijavunjwa mpaka hii leo.Waalifu wakikimbia jamaa akiwepo hawachukui raundi maana alikuwa anawakamata dakika tu maana anakimbiza upepo balaa.
Home
Unlabelled
Unamkumbuka Bingwa wa zamani mbio za mita 400 Tanzania??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hahahaa hongera sana afande Morris kwa mafanikio uliyofikia kijana wa zamani Kurasini. By George Best, UK.
ReplyDeleteHongera Sana Mzee Mwenzetu,
ReplyDeleteNaomba kufahamu kama afande Moris ana uhusiano na rafiki yangu wa siku nyingi –Jef Okinda
Mosha, Hamburg
Nakumbuka harakati za uwanja wa zamani wa taifa na bukta za umbro na mabuti ya JWTZ . Nano a salsa wakupe u RPC tuu.
ReplyDelete