Mdau Hassan aliopo safarini Mkoani Kigoma,ametuletea taswira hii aliyoidaka leo alipotembelea eneo la mwisho wa Reli mkoani Kigoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hayo majengo wakoloni wakija watayakumbuka kuwa ndiyo waliyoacha. Tunatarajia majengo imara zaidi yenye sehemu za kuulizia maduka nafasi za kuwekea mizigo sakafu yenye tiles na pavement nje za kueleweka vipaza sauti huduma simu na za choo, badala ya vumbi na mabati yaliyochoka miaka ya hivi karibuni kama niliyosema hayako kwenye mpango yawekwe na wanaohusika ikiwa ni pamoja halmashauri husika ya mkoa wa Kigoma.Mazingira yaliyopo hayatii moyo.

    ReplyDelete
  2. Nairobi kuna vituo vya treni vya kisasa wahusika waangalie kuborea vituo vyote vyenye taswira zilizochoka, kutopendeza na kupitwa na wakati.

    ReplyDelete
  3. Ukitaka kubadilisha tu mabati wakati mnajipanga kutafutaq pesa za kuboresha mwisho wa reli kiwanda cha mabati kipo hayo yenye kutu yanaweza kubadilishwa kirahisi kwa pesa za madafu.

    ReplyDelete
  4. Bora yabaki hayo hayo yenye kutu kama hawako tayari kujenga...hayo mabati yamedumu toka mkoloni. wakiweka hayo ya kwao mapya miaka 10 tu yatakua na hali mbaya kuliko hayo unayoyaona hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...