Wana DMV BALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIANCHI MAREKANI, MHE. LIBERATA MULAMULA, ANAWAALIKA WATANZANIA KUTOKA KWENYE MAENEO YA DMV PAMOJA NA MAJIMBO MENGINE HAPA MAREKANI, KUHUDHURIA MKUTANO MAALUM WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DR. JAKAYA KIKWETE, UTAKAOFANYIKA TAREHE 2 AGOSTI, 2014 KATIKA HOTELI YA MARRIOT, 1221 22ND ST NW,WASHINGTON DC 20037, KUANZIA SAA 12.00 KAMILI JIONI.
KWA WANA DMV WATAKAOITIKIA MWALIKO HUU NA KUTAKA KUHUDHURI, WANAOMBWA NA KUHIMIZWA KUJIANDIKISHA MAJINA Kupitia.
Kama Kuna Maswali Tunaomba Uwasiliane na :
Iddi Sandaly - President
301-613-5165
Raymond Abraham - Vice President
301-793-4467
Amos Peter Cherehani - Secretary
240-645-2131
Genes Malasy - Teasury
301-367-8151
President huyoo marekani ukawa mlie tu
ReplyDeleteHuyo Anonymous wa kwanza kiazi kweli anaenda kichama au kiserikali.Watuwengine wapumbavu kweli heri mjinga akielimishwa ataelewa.
ReplyDelete