Home
Unlabelled
JK atunukiwa Tuzo Nyingine ya kimataifa, safari hii ni ya kuwa Nyota wa Demokrasia Afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tuzo hii ni heshima kwa taifa. Tunapotengeza Katiba na kuelekea kwenye uchaguzi ni fursa nyingine ya kuimarisha demokrasia.
ReplyDeleteDemokrasia kama anayo rais wetu basi chama chake hawana,na kama anaielewa basi basi maoni yake kuhusu katiba mpya aliyoyatoa bungeni hakuzingatia uhuru wa wengi ambayo ndio suluhisho yale yalikuwa mawazo yake binafsi na angeliweza hata kuyatoa akiwa ikulu au kwake kumwambia jaji warioba na kamati yake.
ReplyDeletekufanya vile katumia cheo na madaraka ya kiti cha urais katika bunge maalum sio utaratibu unaokubalika katika kutafuta katiba iliyo huru kwa maslahi ya nchi.
ndio maana mimi binafsi naelewa kuwa utaratibu mzima wa kutafuta wajumbe kwa kuwatumia wabunge/wawakilishi na wale waliochaguliwa na rais nilielewa kuwa hakuna katiba huru hapa ikiwa wajumbe wengi ni wakereketwa.
tungelitafuta wanasheria,wananchi wa kawaida sio viongozi,wakuu wa dini zote,na mashirika yasio ya serekali unapowahusisha watawala katika kuleta mabadiliko au marekebisho au maboresho yoyote ujue wazi au mapema kuwa hayo yatafanyika ikiwa yataweka mbele matakwa ya wanaotawala sio wanaotawaliwa.
hongera mheshimiwa rais kwa kupata tunzo muhimu tatizo uko chama sicho.