Hakika Mzee Yusuph ni mfalme katika muziki wa taarabu maneno hayo yamedhihirika jana usiku, katika viwanja vya Dar Live –Mbagala baada ya kudondosha bonge la shoo, babu kubwa chini ya udhamini wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania pamoja na Global Publishers. Shoo nzima ilihudhuriwa na watu kibao, kiasi kwamba mashabiki walikosa sehemu ya kukaa na kuwabidi kucheza mwanzo mwisho.
Umati wa mashabiki wa muziki wa Taarabu ulivyofurika katika ukumbi wa Dar Live jana kwenye Tamasha la sikukuu ya Eid liliodhaminiwa na Vodacom Tanzania. 
Mzee Yusuph akiwa na wachezaji wake katika kuwaburudisha wapenzi wa taarabu hapo jana katika ukumbi wa Dar Live mbagala kwenye tamasha maalum la sikukuu ya Eid lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania . 
Baadhi ya waimbaji wa kundi la Jahazi Modern Taarabu wakiwa jukwaani katika ukumbi wa Dar Live mbagala kwenye tamasha maalum la sikukuu ya Eid lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania
Mfalme Mzee Yusuph akiwapa burudani mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Dar Live mbagala kwenye tamasha maalum la sikukuu ya Eid lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania. 
Umati wa watu wakiserebuka vilivyo na mirindimo ya Pwani toka kwa Mzee Yusuph katika ukumbi wa Dar Live mbagala kwenye tamasha maalum la sikukuu ya Eid lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania . 
Mfalme Mzee Yusuph akiwa na wacheza shoo wake katika ukumbi wa Dar Live mbagala kwenye tamasha maalum la sikukuu ya Eid lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania . 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...