Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2014

    Bwana Kaputeni
    Kidhungu mimi kinanipa shida lakini nafikiri hippo hana pembe kama unavyotaka kutuambia.huyo ni rhino.basi tafadhali tufanulie ukweli.
    I love your programme.

    ReplyDelete
  2. Hippopotamus ni kiboko na sio kifaru kama Gadner ulivyosema. Huyo kifaru mwenye pembe katikati anaitwa Rhino.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2014

    Captain Habash, napenda sana wanyama na stori zao. Napenda sana clip zako. Kuna dosari kidogo kati ya rhinoceros = kifaru na hippopomus = kiboko. nategemea hautakuwa offended. asante mdau.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...